- Maisha yapo kama barabara ndefu iliyo nyoka isiyo onekana mwisho wake.,Hii barabara ukiiangalia kwa macho yako uwezi kuona mwisho wake.,Maisha yanalingana na harakati za mwanadamu katika kujitafutia hapa duniani.,Mwanadamu anapojitafutia hapa duniani ajui mwisho wake ni wapi,ila anakabiliana nayo kila kukicha,kila itwapo leo yeye ukabiriana nayo,ingawa ajui mwisho wake,ila mwisho wake unakuja kukomea pale anapotwaliwa hapa duniani.,Lakini yeye mwenyewe atambui muda,siku wala wakati yeye anajishitukia tu katengwa na dunia hii,kaingizwa kwenye dunia nyingine.
Wednesday, 26 November 2014
VITU VITATU AMBAVYO MWANADAMU ANATAKIWA AVIFAHAMU KWENYE MAISHA,KISHA HAANZE NAVYO.
Posted on 06:03by shinetanzania with No comments
- Unatakiwa uwe na uwakika wa mlo kwa siku mara tatu,asubuhi,mchana na jioni.,Haijalishi una vitamini ama auna vitamini,haijalishi mtamu ama mbaya bali tumbo lijae,haijalishi ni kidogo ama ni kingi.
- Unatakiwa uwe na uwakika na sehemu ya kulala,haijalishi ni sehemu gani,ina chawa ama aina chawa,haijalishi ipo sehemu ya dampo ama sehemu ya mfereji wa maji machafu,bali wewe upate pa kujipumzisha tu.
- Tatu yanayofata sasa ni maendeleo kwa ujumla,nyumba nzuri,gari,kumiliki biashara kubwa kubwa,kumiliki viwanja,majumba n.k.
- 1+1=2+1=3 hili ndilo jibu letu sahii litakalo fata.,Mungu akupe nguvu uweze kufika kwenye hili jibu.
UPENDO SEHEMU YA TATU.
Posted on 05:35by shinetanzania with No comments
- Upendo ni kama maji yatiririkayo toka sehemu moja kwenda nyingine,maji hayakomi kutiririka kwenye mkondo wake kwenda sehemu ya piri ndivyo upendo ulivyo ndani ya mwanadamu,ataendelea kupenda mpaka mungu atakapo mtwaa hapa duniani.,Hataacha kupenda ata akifiwa na mke ama mume bado ataendelea kupenda haijalishi atakaa kwa muda gani mpaka tena hari hiyo hije kukuchukua.
UPENDO SEHEMU YA PILI.
Posted on 05:16by shinetanzania with No comments
- Upendo ni bustani kubwa isiyokuwa na kikomo,kwa kiswahili chepesi upendo ni bustani kubwa isiyokuwa na mwisho,ni bustani pana kila mtu anahielezea vile anavyojua yeye.,Ni bustani iliyosheeni vitu vingi najuakuna vingi ila mimi naelezea vizuri najua pamoja na yote hayo utaacha kupenda.,
SURA YA MAISHA
Posted on 02:05by shinetanzania with No comments
SURA YA MAISHA.
- Unajua maisha yana sura mbili moja ni sura ya mafanikio na mbili ni sura ya kutofa nikiwa ,sasa basi unaweza kufanikiwa lakini uwezi uka starehe bila ya changamoto, na unaweza ukawa hujafanikiwa hapo ndipo unaweza kuona changa moto nyingi kwako , ninimaanisha kuwa cgangamoto kwa mwanadamu haziishii mpaka atakatwaliwa hapa duniani ataweza kuondokana nazo,cha ziada ni kukufundisha na kukutia nguvu ilikukabiliana nazo.
- hata mapenzi yana sura mbili kama utamshirikisha mungu na kama utaka kumshirikisha mungu.kama ukimshirikisha mungu na kuwa ndani ya mungu utayafurahia na hata zikitokea changamota utazishanda kwa sababu ushauonja utamu wake,kama utamshirikisha mungu utaona utamu wa sekunde kisha kinachofuata kelo, changa moto kwako mpaka itafika wakati mwaweza mkatengana.
MASIKINI NI NANI?
Posted on 00:54by shinetanzania with No comments
MASIKINI NI NANI ?
Mtu masikini ni nani?
umasikini ni nini + mtu masikini ni nani =
Umasikini ni nini+ mtu masikini ni nani + umasikini ni nini + umasikini ni nini =
umasikini ni nini,mtu masikini nani ? umasikini ni nini ?
haya ndiyo majibu yetu mawili yanayo lingana.
- Masikini ni mtu yeyote yule,masikni ni binadamu yeyote yule,masikini ni mtu ni mtu mwenye upungufu wa ufahamu,anaweza akawa ni maskini mali lakini akawa tajiri wa heshima katika jamii,mtu anaweza kuwa masikini wa vyote,lakini akawa na kimoja ,kama ukimnchunguza na kutaka kumfahamu kipawa chake kimoja utakijua,kwa hiyo masikini ni binadamu yeyote yule mwenye upungufu wa jambo furani ama kitu furani.
- Umasikini ni ile hali ya mtu kukosa pesa au mali ya kumiliki,umasikini ni ile hali ya kukosa pesa ama mali ya kumiliki na kiendeleza.umasikiniumasikini ni ile hali ya mtu kukosa pesa ya kufanyia shughuli zake za kimaendeleo,kwa mfano elimu,biashara n.k kwa mfano mingi sana,kwa mfano mtu ana kosa ada ya kumuendeleza mtoto wake kimasomouta msikia akitamka huu ni umasikini kwa maana bila ya pesa ya kumpeleka mwanaye shule.nitafanyaje? anajiuliza swali yeye mwenyewe, hivi ndivyo maana ya umasikini.
- masikini ni mtu mwenye roho mbaya,mchoyo,muongo,mnafiki n.k uwezi ukauelezea umasikini bila kumuelezea mtu masikini , umasikini unaendana na mtu,kwa hiyo ukitaka kupata jibu sahihi lazima hivi vyote viwili uzielezee ndipo utapoweza kupata jibu sahihi angalia hii ilivyo.
Mtu masikini ni nani?
umasikini ni nini + mtu masikini ni nani =
Umasikini ni nini+ mtu masikini ni nani + umasikini ni nini + umasikini ni nini =
umasikini ni nini,mtu masikini nani ? umasikini ni nini ?
haya ndiyo majibu yetu mawili yanayo lingana.
Friday, 21 November 2014
NAMZUNGUMZIA MTU ALIYE NJE YA NDOA.
Posted on 11:34by shinetanzania with No comments
TENDO LA NDOA.
- Tendo la NDOA ni nini? tendo la ndoa ni tendo linalofanywa na watu wawili wenye jinsia tofauti ya kiume na ya kike walio nje ya ndoa kwa kukutanisha miili yao kwa pamoja kwa nia tofauti kwa malengo tofauti na kwasababu tofauti pamoja na Miungu yao, pia tendo la ndoa ni maridhiano baina ya watu wawili waliotamaniana kwa muda na kuamua kuwa pamoja kama mke na mume, tendo la ndoa kwao ni starehe ya muda mfupi, pia ya mara kwa mara, tendo la ndoa kwao ni starehe, kuumizana na kuachana
- Maisha ni starehe, maisha ni kuumizana, maisha ni kuachana.
ANAYEPASWA KUFANYA TENDO LA NDOA NI NANI?
NI UMRI GANI MTU ANAPASWA KUFANYA TENDO LA NDOA?
- Anayepaswa kufanya tendo la ndoa ni mtu yoyote yule aliye nje ya ndoa.
- Umri mtu anayepaswa kufanya tendo la ndoa ni umri wowote ule punde anapo balehe kwenye miaka 9,10,11,12,13.......n.k.
FAIDA YA TENDO LA NDOA.
- Hawa hawana faida katika tendo kwao ni starehe ya muda mfupi; faida yao ni kuwa pale wanapokuwa kwenye tendo ambalo kwao ni starehe.
HASARA YA TENDO LA NDOA.
- Ni kumlaani Mungu kwanini amepata mtoto wakati muda wake bado, kulaumiana na kuachana.
- Mtoto kulelewa na mzazi mmoja kukosa malezi kamili ya Baba na Mama.
- Mtoto kukosa haki yake ya kwenda shule.
- Kundi kubwa la watoto wa mitaani kuongezeka.
- Mtoto kujiingiza katika makundi ya mitaani yasiyofaa uvutaji sigara, bangi, unga, ujambazi, wizi na kupora hapa na pale, umalaya n.k.
NAMZUNGUMZIA MTU ALIYE NDANI YA NDOA.
Posted on 10:51by shinetanzania with No comments
TENDO LA NDOA.
- Hili neno linatokana na kitu kinachoitwa NDOA, pia hili neno linamaanisha mtu aliyendani ya NDOA anaweza akawa mwanamke au mwanaume aliyekuwa ameolewa au ameoa
- Tendo la NDOA ni nini? tendo la ndoa ni tendo linalofanywa na watu wa wawili wenye jinsia tofauti ya kiume na ya kike waliondani ya ndoa kukutanisha miili yao kwa pamoja kwa nia moja kwa lengo moja na kwasababu muhimu pamoja na Mungu wao; pia tendo la ndoa ni maridhiano baina ya watu wawili waliopendana kwa dhati na kuamua kuishi pamoja kama mume na mke, tendo la ndoa kwa wanandoa ni upendo, amani na furaha kwao na familia yao kwa pamoja.
- Maisha ni furaha, maisha ni amani na maisha ni upendo.
ANAYEPASWA KUFANYA TENDO LA NDOA NI NANI?
NI UMRI GANI MTU ANAPASWA KUFANYA TENDO LA NDOA?
- Anayepaswa kushiriki tendo la ndoa ni mtu yoyote yule aliye ndani ya ndoa
- Umri mtu anayepaswa kufanya tendo la ndoa ni umri yeye mwenyewe anaye balehe mimi simpangii ila katika umri huo ndiyo anaruhusiwa kufanya tendo la ndoa kwa kufuata taratibu zote za ndoa ninamaanisha afanye ndoa kisha aanze kushiriki.
FAIDA YA TENDO LA NDOA.
- Ni afya, pia huimarisha mwili kuwa vizuri.
- Huweka akili sawa na ukafanya kuwa na mawazo mazuri.
- Kupata watoto wenye kulelewa ndani ya ndoa na wazazi wote Baba na Mama n.k.
HASARA YA TENDO LA NDOA.
- Hasara hakuna ila kuna faida tu katika tendo la ndoa.
MAUSIANO.
Posted on 01:11by shinetanzania with No comments
KUSOMANA TABIA.
- Hivi wewe unaamini kukaa muda mrefu na rafiki yako wa kike ama kiume ndio mnasomana tabia ? tabia ya mtu ipo ndani yake,si rahisi kuyagundua mabaya ya mwenzako uku mkiwa juu juu.,Tabia ya mtu unaigundua punde unapoamua kuishi nae ndipo unapojua tabia zake.,Kama utakuwa nae juu juu kama rafiki ama kama mchumba basi ujue utayajua yale yale ya juu juu,utayajua yake yote ya ndani ila ukithubutu kuishi nae ndipo utakapo yajua yote ya kwake,na yeye atayajua yote ya kwako.,sasa mnapofikia hapo mnatakiwa mjikubari ili muweze kwenda sawa.,MSAMEANE.,YANAYOTAKIWA KULEKWE
Thursday, 20 November 2014
PICHA.
Posted on 23:41by shinetanzania with No comments
- Picha,picha ni nini ? picha ni taswira ya kitu.,kwa mfano gari,nyumba,mtu n.k hivi vitu vipo katika taswira ya picha ya kupigwa na kuonekana,ndio tunaweza kusema picha ya gari hile,ama picha ya nyumba hile n.k.Pia picha ni taswira ya vitu.,Kwa mfano magari yale yamependeza yamepigwa picha vizuri.,Picha ni muonekano wa taswira ya kitu kimoja ama vingi machoni mwako.
- Picha ufurahisha.
- Picha uhuzunisha.
- Picha uchekesha.
- Picha usikitisha.
- Picha ukupa upendo.
- Picha ukupa amani.
- Picha ukupa furaha.
- Picha ukupa tumaini.
- Picha uku kumbusha.
- Picha ukuriza.
UPENDO SEHEMU YA KWANZA.
Posted on 23:12by shinetanzania with No comments
UPENDO KWA MWANADAMU.
- Upendo kwa mwanadamu uwe kama mfano wa MAUWA haya,ebu angalia mauwa haya yalivyopendeza yamestawi,yamenawili na yamependeza machoni pako,yanawaka na yanamelemeta.,Huu ni mfano wa upendo unaotakiwa kuwa nao ndani yako,na hata unapomrushia na mwenzako basi na uweze kumgusa.,Upendo unaanzia kwako kisha unakwenda kwa uliyemkusudia,kuwa mkweli ili upendo unaoutoa kwa mwenzio uweze kumgusa.
Sunday, 16 November 2014
UTALII.
Posted on 06:08by shinetanzania with No comments
LEO TUNAMZUNGUMZIA MNYAMA PAKA.
PAKA NA TABIA ZAKE.
PAKA NA TABIA ZAKE.
- Paka anayefugwa na binadamu ana ukubwa wa uzito wa kilogram nne na tano.
- Paka anatabia anazo fanana na wanyama wengine kama vile simba,chui na duma.
- Paka ana uwezo mkubwa wa kusikia sauti ya chini kuliko binadamu anavyoweza kusikia.
- Paka uwinda,lakini anapokutana na paka wenzake au wanyama wengine utumia lugha za mwili wake kwa hajili ya mawasiliano,kuunguruma kwa sauti ya kutetema na kulia kwa sauti.
- Paka wakubwa wana uzito wa kilogram kumi na moja.
- Paka wadogo wana uzito wa kilogram 1.36.
- Paka wengi uwa na kimo cha wastani cha sentimeta 23 hadi 35.
- Paka pia uwa na urefu kuanzia kichwa hadi mkia wa wastani wa sentimita 46.
- Paka jike uwa na mkia mfupi.
- Paka dume uwa na mkia mrefu unaofika wastani wa sentimita 30.
- Paka ana fanana uti wa mgongo na wanyama wengine walio katika kundi la mamalia.
- Paka sehemu kubwa la fuvu lake limebeba macho,mataya magumu yenye nguvu na meno makari kwa hajili ya kuulia wanyama wadogo wadogo na kukatia nyama.
- Paka mwenye afya njema anao uwezo wa kufanya kazi wakati wowote usiku na mchana,ingawa wanaonekana kufanya kazi vizuri zaidi wakati wa usiku kuliko mchana.
- Paka kwa siku moja ana uwezo wa kuzunguka katika eneo la ukubwa la hekta 28 sawa na ekari 69 kwa siku.,ingawa muda wake mwingi uhutumia akiwa ametulia nyumbani.
- Paka wanaifadhi nguvu za miili yao kwa kusinzia.
- Paka ni mnyama mwenye usingizi mwingi kuliko wanyama wengine wa kundi lake na hata wasio wa kundi lake.
- Paka utumia saa 12 hadi 16 kwa siku akiwa amelala ambapo kwa paka wengine muda wa kulala kwa siku ni wastani wa saa 13 hadi 14,ingawa kuna baadhi ya paka wanaotumia hadi saa 20 kwa siku yenye saa 24 wakiwa usingizini.
MAISHA YA MWANADAMU YAPO NDANI YA MUNGU.
Posted on 02:44by shinetanzania with No comments
- Maisha ya mwanadamu yapo ndani ya mungu,punde anapotoka na kwenda kufanya uharifu uwa nje ya mungu.,Mwanadamu amepewa nafasi kubwa sana na mungu ya kujitambua na kujua lipi baya na lipi zuri,uhu ni upendeleo tosha sana kwake toka kwa mungu,mungu apendi kuona mwanadamu anatoka ndani yake na kwenda kufanya uharifu,anachukizwa sana na kuuzunika punde anapohona kiumbe chake kinapotea,hapo apo huyu mwanadamu anayefanya uharifu na kumkasirisha mungu bado ahachi kulitaja jina la mungu popote pale ndani yake na nje yake,hapa ndipo utagundua mwanadamu ana samani kubwa mbele za mungu kuliko viumbe vyote hapa duniani.,UHARIFU.,Uharifu upo wa aina nyingi hapa duniani ambao unatengeneza zambi ndani ya mwanadamu.,kuna uharifu wa kujiuza mwili,kuna uharifu wa kichawi,uharifu wa rushwa,uharifu wa kuuwa,uharifu wa kuiba,uharifu wa kudanganya,uharifu wa kupora, n.k.Akika mungu wetu anatupenda katika yote hayo tunayo mkosea bado hajatuacha wanae ataendelea kuwa baba milele na milele.SASA UJITAMBUE KUWA WEWE NIWA SAMANI SANA MBELE ZAKE,UWACHE KUMUUZUNISHA NA KUMKASIRISHA,UWACHE UHARIFU.
KANUNI ZA KUFANIKIWA.
Posted on 02:15by shinetanzania with No comments
KANUNI SITA ZA MAFANIKIO YAKO HAPA DUNIANI.
Ukizipokea na kuzisoma kisha kuzifanyia kazi,utapata matunda yake,mungu akusaidie.
Ukizipokea na kuzisoma kisha kuzifanyia kazi,utapata matunda yake,mungu akusaidie.
- Usipende kumwambia mtu kwa kile unachotaka kukifanya.
- Fanya kile unachoamini unaweza kukifanya.
- Usiwe mtu wa sifa kuweka siri zako nje ili watu wajue wewe ni nani ? na unataka kufanya nini ?kwa sasa ama kwa badae.
- Uwe mtu wa vitendo.
- Uwe mtu wa sirini kwa yale unayotaka kufanya,watu waje kuyaona badae.
- Usipende kushindana na watu,ila watu waache washindane na wewe.
UMESHINDA.
Posted on 01:55by shinetanzania with No comments
- Umeshinda ni kaurimbiu ya kushinda unaloritaka haijalishi ni lini,ama nikwa wakati gani,hila simama na kaurimbiu hii ya tumaini kuwa umepokea hata kama ujapokea,hii itakutia moyo itakufanya ujione mtu jasiri mwenye msingi uliyo imara,haijarishi kama una kitu ama una kitu,simama na kauri hii kuwa UMESHINDA.
Saturday, 15 November 2014
MBIO ZA MWANADAMU.
Posted on 22:28by shinetanzania with No comments
MBIO ZA MWANADAMU DUNIANI.
- Mbio za mwanadamu duniani ni kujitafutia maitaji yake yaliyo sahii ili awezekuendelea kuishi hapa duniani,mpaka atakapo twaliwa ndipo itakuwa mwisho wa mbio zake hapa duniani.,Mbio za mwanadamu ni ndefu kwa maana anakimbia bila ya kuona mbele atafika lini.,Ni safari yenye kuitaji moyo jasiri ili uweze kuikamilisha ukiwa sawa,ni safari iliyojuu ya mambo mengi kuna kila aina ya vikwazo mbele yake,ila una budi uvishinde ili uweze kuimaliza safari yako salama,yenye amani,upendo na furaha kwako nakwa utakao waacha hapa duniani,watakukumbuka kwa yote uliyoyafanya hapa diniani na kuyaona kwa macho yao,watakukumbuka ucheshi wako,upole na unyeyekevu,ukari na upendo wako wataukumbuka sana kila mmoja atakumbuka kwako kitu kimoja kilichokuwa kinamfuraisha,mwengine upendo,mwengine ukari,mwengine upole na mwingine unyenyekevu,haya yote yatakuwa kumbukumbu toka kwako uliyowaachia,uwezi ukawaridhisha wanadamu wote ila kila mmoja utamridhisha kwa kile ulichokuwa nacho,na hata wasiyokupenda pia lazima utakuwa umewagusa kwa kitu kimoja bila ya wao wenyewe kujitambua ila siku ya mwisho kitajionesha miyoyoni mwao bila ya kujificha.,Hakika safari ya mwanadamu ni ndefu hinaitaji uvumilivu mkubwa ili aweze fika.,UVUMILIVU NI NINI ? Uvumilivu ni roho.,kila mwanadamu anazaliwa na uvumilivu ndani yake,ila kadri anavyokuwa mkubwa na kuweza kukumbana na mambo mengi ya dunia hii basi ujikuta akitoka katika hari hiyo ya uvumilivu na kujikuta akijiingiza katika hari ya kiarifu isiyotena na uvumilivu ndipo utamuona mtu ana kaba,ana uwa,ana baka,mwizi na mambo mengine mengi mabaya,roho ya uvumilivu inakuwa imekwisha toweka ndani yake,kuirudisha tena mpaka amrudie mungu.
Tuesday, 11 November 2014
UTALII.
Posted on 03:55by shinetanzania with No comments
LEO TUNAMZUNGUMZIA MNYAMA PUNDA.
TABIA ZA PUNDA.
TABIA ZA PUNDA.
- Punda hutumika katika shughuli za kibinaadam, ubebaji maji, mizigo, kuvuta mikokoteni na pia katika kilimo.
- Punda ana wastani wa kimo cha sentimeta 80 mpaka 160.
- Punda anakadiliwa kuwa na uzito wa kilogramu 80 mpaka 450.
- Punda jike hujulikana kitaalamu kwa jina la Jenny.
- Punda dume hujilikana kitaalamu kwa jina la Jack.
- Punda pia hutoa kitoweo cha nyama.
- Punda jike hubeba mimba kwa kipindi cha miezi 12.
- Punda huzaa mtoto mmoja kwa kawaida kwa kila uzazi mmoja ila kuna wakati hutokea huzaa watoto mapacha.
- Punda mtoto wake mdogo wa kiume huitwa Colt.
- Punda mtoto wake mdogo wa kike huitwa Filly.
- Punda ana uwezo wa kuishi sehemu kame kwa muda mrefu kama vile jangwani na pia kukaa muda mrefu bila kunywa maji.
UTALII.
Posted on 03:35by shinetanzania with No comments
LEO TUNAMZUNGUMZIA MNYAMA KICHECHE.
TABIA ZA KICHECHE.
- Kicheche ni mnyama anayepatikana katika bara la Afrika pekee hasa katika ukanda wa kisavana, isipokuwa kwenye misitu mikubwa ya Congo na baadhi ya maeneo ya Afrika magharibi ambako mnyama huyu hawezi kupatikana.
- Kicheche hapa nyumbani Tanzania anapatikana maeneo mengi hasa ya vijijini kwa umahiri wake wa kukamata kuku kwa njia ya ajabu.
- Kicheche ni mnyama jamii ya paka anayeishi porini ambaye kwa lugha ya kiingreza anaitwa "Zorilla" au "Polecat".
- Kicheche yupo kwenye kundi la mamalia, yupo kwenye familia ijulikanayo kama "Mustelidae" au "Weasels".
- Kicheche kama walivyo wanyama wengine wa jamii ya paka, pia yupo katika kundi la wanyama wanaokula nyama ambao kwa lugha ya kitaalamu wanaitwa "Carnivorous".
- Kicheche aliyekomaa ana urefu wa sentimeta 60 tu; sawa na futi mbili, urefu ambao unajumlisha mwili na mkia, mkia pekee una urefu wa sentimeta 20.
- Kicheche ni mnyama mwenye umbile dogo ila ana mbinu lukuki za kujiamini na maadui zake.
- Kicheche mbinu yake moja ya kujiamini na maadui zake ni kutoa harufu mbaya inayowaudhi maadui na hivyo badala ya adui kumdhuru huamua kumkimbia.
- Kicheche harufu mbaya anayoitoa huzalishwa kama kimiminika kwenye matezi maalum yaliyo kwenye sehemu yake ya kutolea haja kubwa.
- Kicheche kutokana na kutoa harufu mbaya nchini Sudan inadaiwa kumuita jina la "Father of stinks" yaan baba wa harufu mbaya.
- Kicheche ana tabia ya kuinua mkia wake kubinua mgongo ili aonekane mkubwa pindi anapokutana na adui yake ili amtishe.
- Kicheche ni mnyama mbinafsi wenyewe kwa wenyewe hawana tabia ya kushirikiana kwa jambo lolote isopokuwa wanapohitaji kushirikiana.
Thursday, 6 November 2014
MAISHA.
Posted on 04:29by shinetanzania with No comments
MAISHA NI KAMA NGAZI.
- Maisha ni kama ngazi inayoitaji huanzie chini,upande ngazi ya kwanza,ya piri,naya tatu ili uweze fika kileleni ulipokusudia kufika,usikubali kuishia ngazi ya kwanza ama ya piri,jitaidi ufike ile ya tatu uliyokusudia kufika.,Mwanadamu ana miguu miwiri anapoanza kupandisha ngazi lazima ahanze na mguu wa kushoto kupanda kisha unafata wa piri wa kulia,mwisho anamalizia na mguu wake wa kushoto aliyoanzia nao katika kukamilisha namba tatu za ushindi wake,kwa hiyo jitaidi ukamilishe atua yako tatu kwa kishindo.
MAISHA.
Posted on 04:04by shinetanzania with No comments
MAISHA YANAITAJI UVUMILIVU.
- Maisha yanaitaji uvumilivu mkubwa kwa mwanadamu,maisha ya mwanadamu yametawaliwa na uvumilivu mkubwa toka kwake,punde anapokosa uvumilivu basi ujue muelekeo wake utaenda vibaya,muelekeo ukienda vibaya basi atajikuta akishiriki mambo mabaya yasiyompendeza mungu kama vile WIZI,UHARIFU WA KUKABA,KUUWA N.K
- Kila mwanadamu kama nilivyosema,maisha ya mwanadamu yamebebwa na NENO UVUMILIVU,kila mwanadamu anazaliwa na Uvumilivu ndani yake ila hile hari ya uvumilivu inatoweka ndani yake na kubaki yeye mwenyewe bila ya kujitambua na kuamua kufanya vitu visivyo ipendeza jamii ,hii hari inatoweka kama ukiwa mbali na mungu,anapokuwa mbali na mungu wake atopata kitu na wala ataona kitu na hatasikia kitu,mwisho ndio anajikuta anaingia katika hari ya KIUHARIFU.,TUWE KARIBU NA MUNGU ILI TUYASHINDE MAISHA,MAISHA SI MAGUMU KAMA TUNAVYOZANI SISI,KAMA MUNGU ALITUKUSUDIA TUWE DUNIANI BASI TUMRUDIE YEYE ILI TUWEZE KUKABILIANA NA MAGUMU
MTU ANAEJIAMINI.
Posted on 00:31by shinetanzania with No comments
Mtu anaejiamini.,Mtu anaejiamini siku zote ni mtu wa ainatofauti katika jamii,mtu anaejiamini ni mtu mwenye kupanga mambo yake na yakapangika kama anavyotaka,mtu mwenye kujiamini ababaishwi na kitu,mtu anaejiamini ni mtu mwenye roho safi,mtu anaejiamini ni mtu mwenye kuwaombea watu,mtu anaejiamini ni mtu wa watu,mtu anaejiamini ni mtu asiyeogopa changamoto,mtu anaejiamini ni mtu anaefurahia maendeleo ya mtu mwingine,mtu anaejiamini ni mtu shupavu na imara,mtu anaejiamini ni mtu anaesimama sehemu makini,uku akiwa na tumaini na kile anachopigania,mtu anaejiamini ni mtu mwenye tumaini la kitu,vitu alivyokusudia kuvipata kwa wakati,mtu anaejiamini ni mtu mwenye kuangalia wakati uliopo na unaokuja,kwa kifupi ni mtu wa kuangalia nyakati na wakati.
Saturday, 1 November 2014
BIASHARA.
Posted on 06:57by shinetanzania with No comments
- Kila biashara unayotaka kuianza ujue ina changamoto zake,biahsara ni nzuri kwa kila mtu anayejitambua hivyo,biashara ni kipawa pia unaweza ukajifunza na ukaja kuielewa,biashara hukupa uhuru wa kufanya mambo mengine uyatakayo,biashara hupanua mawazo na kukufanya ufike mbali ki maendeleo,biashara hukutanisha na watu tofautitofauti na kuweza kujifunza mambo mengi toka kwao.
- Uvumilivu.
- Unyenyekevu.
- Usafi.
- Kauli nzuri.
- Kukopeshana kwa kiasi.
- Faida.
- hasara.
CHANGAMOTO YA BIASHARA.
Changamoto ya biashara utaipata toka tabia ya biashara au matokeo ya biashara na matakeo ya biashara ndio utakumbana na changamoto humo,lakini huna budi kusonga mbele.
MAPENZI YA DHATI.
Posted on 05:05by shinetanzania with No comments
Mapenzi ya dhati ni yapi?
- Mapenzi ya dhati ni yapi?Mapenzi ya dhati ni yale ya kutoka moyoni,mapenzi ya dhati hayaangalii sura,umboelimu,elimu ni mwanga wako waki maisha,elimu yako ni vyeti vyako havihusiani kabisa na mapenzi,umriumri, ni namba tu kila mmoja ana namba zake,kuna mwenye namba kubwa na mwenye namba ndogo,wewe angalia ndani yakr je/ amekupenda kwa dhati.
- Pesa.pesa zipo na zita endeea kuwepo hapa duniani,zikizunguka kutoka kwa mtu mmoja kwenda kwa mwingine,kama mtakuwa pamoja mtawezakuzitafuta na kuzipata,pesa isiwe kigezo cha kumuacha mwenzako aliye kependa kwa dhati.
- Ukiwa mtu wa kuangalia hivi vitu vitatu kwa mpenzi unayemtaka basi usiwe na shida uta mpta mapema sana,ila jua hutakuwa na amani,furaha na upendo ndani ya yako,utnyanyasika sana,atakutesa kukutokana nakile alicho nacho.,funguka akili yako,funguka fikra zako,funguka mawazo yako,angalia furaha ya moyo wako,anglia amani ya moyo wako,angalia upendo wa moyo wako,mpe moyo wako usiangalie ndugu wana semaje?,usiangalie rafiki wana semaje?,maamuuzi yote unayo wewe mwenyewe.
WIVU NDANI YA NDOA NA NJE YA MAUSIANO
Posted on 04:22by shinetanzania with No comments
Wivu upo katika mapenzi,lakini unatakiwa uwe wa kiasi kwa wapenda nao,wote wajielewe kuwa wivu upo na unapaswa kuwa kwa kiasi kwao.,Wivu upo kwa watu waliopo katika mahusiano.,WIVU NI NINI? Wivu ni chachu au kachumbari katika mahusiano,wivu uongeza mapenzi ya ndati kwa wapenda nao,kusikilizana na kuaminiana.Wivu ni mzuri pia wivu ni mtamu kwa wapenda nao waliopendana kwa dhati,wivu umfanya mtu ajitambue kuwa anapendwa,na anapojisikia moyoni mwake ufurahi na kujiona kuwa wa thamani sana kwa mwenzake huyo.,Kuna kipindi mwanadamu ujisahau na kujikuta akijiachia afahamu kuwa yeye ni mke wa mtu ama mume wa mtu,sasa bila kumshitua anaweza akatoka nje ya mstari kwa hiyo lazima umshitue kwa staili hii ya kiasi kwa kumuonea wivu ili harudi nyuma ajitambue haaa............mimi ni mume wa mtu,ama haaa.........mimi ni mke wa mtu,ili hajitambue kumbe niwa umuhimu kwa mume wangu ama kwa mke wangu,bila ya wivu akuna mapenzi.WIVU KWA KIASI.
MAISHA NDANI YA NDOA,MAISHA NJE YA NDOA.
Posted on 03:26by shinetanzania with No comments
Maisha ni kuheshimiana.
Maisha ni kupendana.
Maisha ni kufarijiana.
Maisha ni kusaidiana,kipesa,kimawazo,kifikra n.k
Maisha ni kuelimishana,kufundishana na kukosoana.
Maisha ni kusikilizana.
Maisha ni kuaminiana.
Akuna anaye yajua maisha kila mmoja anatakiwa awe mwalimu kwa mwenzake na kila mmoja anatakiwa awe mwanafunzi pia kwa mwenzake.,uwetayari kuwa mwalimu na uwetayari kuwa mwanafunzi.
Maisha ni kuombeana.
Hii ndiyo misingi nane ya maisha ndani ya ndoa na nje ya ndoa.
Maisha ni kupendana.
Maisha ni kufarijiana.
Maisha ni kusaidiana,kipesa,kimawazo,kifikra n.k
Maisha ni kuelimishana,kufundishana na kukosoana.
Maisha ni kusikilizana.
Maisha ni kuaminiana.
Akuna anaye yajua maisha kila mmoja anatakiwa awe mwalimu kwa mwenzake na kila mmoja anatakiwa awe mwanafunzi pia kwa mwenzake.,uwetayari kuwa mwalimu na uwetayari kuwa mwanafunzi.
Maisha ni kuombeana.
Hii ndiyo misingi nane ya maisha ndani ya ndoa na nje ya ndoa.
BIASHARA.
Posted on 03:00by shinetanzania with No comments
CHANGAMOTO KATIKA BIASHARA.
Mimi napenda kuzungumzia changamoto za kibiashara wanazo kumbana nazo watu wanaofanya biashara,katika biashara changamoto zipo akuna biashara isiyo na changamoto iwe biashara harali ama si harali lazima iwe na changamoto,inawezekana ukawa unafanya biashara ambayo mimi sihijui lakini wewe mwenyewe unaitambua kuwa inachangamoto zake ambazo mtu mwingine hazifahamu,changamoto ni changamoto ziwe kubwa ama ndogo zote ni changamoto.,Sasa basi pamoja na kupata changamoto zote hizo katika biashara yako neno moja katika maisha upaswi kukata tamaa,upaswi kuacha biashara ila unarusiwa kubadilisha uku ukijua changamoto zipo pale pale.,USIKUBARI KUSHINDWA,KUBARI KUSHINDA,ndivyo biashara inavyotaka siku zote
Mimi napenda kuzungumzia changamoto za kibiashara wanazo kumbana nazo watu wanaofanya biashara,katika biashara changamoto zipo akuna biashara isiyo na changamoto iwe biashara harali ama si harali lazima iwe na changamoto,inawezekana ukawa unafanya biashara ambayo mimi sihijui lakini wewe mwenyewe unaitambua kuwa inachangamoto zake ambazo mtu mwingine hazifahamu,changamoto ni changamoto ziwe kubwa ama ndogo zote ni changamoto.,Sasa basi pamoja na kupata changamoto zote hizo katika biashara yako neno moja katika maisha upaswi kukata tamaa,upaswi kuacha biashara ila unarusiwa kubadilisha uku ukijua changamoto zipo pale pale.,USIKUBARI KUSHINDWA,KUBARI KUSHINDA,ndivyo biashara inavyotaka siku zote
Subscribe to:
Posts (Atom)