- Maisha ya mwanadamu yapo ndani ya mungu,punde anapotoka na kwenda kufanya uharifu uwa nje ya mungu.,Mwanadamu amepewa nafasi kubwa sana na mungu ya kujitambua na kujua lipi baya na lipi zuri,uhu ni upendeleo tosha sana kwake toka kwa mungu,mungu apendi kuona mwanadamu anatoka ndani yake na kwenda kufanya uharifu,anachukizwa sana na kuuzunika punde anapohona kiumbe chake kinapotea,hapo apo huyu mwanadamu anayefanya uharifu na kumkasirisha mungu bado ahachi kulitaja jina la mungu popote pale ndani yake na nje yake,hapa ndipo utagundua mwanadamu ana samani kubwa mbele za mungu kuliko viumbe vyote hapa duniani.,UHARIFU.,Uharifu upo wa aina nyingi hapa duniani ambao unatengeneza zambi ndani ya mwanadamu.,kuna uharifu wa kujiuza mwili,kuna uharifu wa kichawi,uharifu wa rushwa,uharifu wa kuuwa,uharifu wa kuiba,uharifu wa kudanganya,uharifu wa kupora, n.k.Akika mungu wetu anatupenda katika yote hayo tunayo mkosea bado hajatuacha wanae ataendelea kuwa baba milele na milele.SASA UJITAMBUE KUWA WEWE NIWA SAMANI SANA MBELE ZAKE,UWACHE KUMUUZUNISHA NA KUMKASIRISHA,UWACHE UHARIFU.
Sunday, 16 November 2014
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment