Sunday, 16 November 2014

UMESHINDA.

  • Umeshinda ni kaurimbiu ya kushinda unaloritaka haijalishi ni lini,ama nikwa wakati gani,hila simama na kaurimbiu hii ya tumaini kuwa umepokea hata kama ujapokea,hii itakutia moyo itakufanya ujione mtu jasiri mwenye msingi uliyo imara,haijarishi kama una kitu ama una kitu,simama na kauri hii kuwa UMESHINDA.

0 comments:

Post a Comment