- Hivi wewe unaamini kukaa muda mrefu na rafiki yako wa kike ama kiume ndio mnasomana tabia ? tabia ya mtu ipo ndani yake,si rahisi kuyagundua mabaya ya mwenzako uku mkiwa juu juu.,Tabia ya mtu unaigundua punde unapoamua kuishi nae ndipo unapojua tabia zake.,Kama utakuwa nae juu juu kama rafiki ama kama mchumba basi ujue utayajua yale yale ya juu juu,utayajua yake yote ya ndani ila ukithubutu kuishi nae ndipo utakapo yajua yote ya kwake,na yeye atayajua yote ya kwako.,sasa mnapofikia hapo mnatakiwa mjikubari ili muweze kwenda sawa.,MSAMEANE.,YANAYOTAKIWA KULEKWE
MAUSIANO.
KUSOMANA TABIA.
0 comments:
Post a Comment