- Upendo kwa mwanadamu uwe kama mfano wa MAUWA haya,ebu angalia mauwa haya yalivyopendeza yamestawi,yamenawili na yamependeza machoni pako,yanawaka na yanamelemeta.,Huu ni mfano wa upendo unaotakiwa kuwa nao ndani yako,na hata unapomrushia na mwenzako basi na uweze kumgusa.,Upendo unaanzia kwako kisha unakwenda kwa uliyemkusudia,kuwa mkweli ili upendo unaoutoa kwa mwenzio uweze kumgusa.
UPENDO SEHEMU YA KWANZA.
UPENDO KWA MWANADAMU.
0 comments:
Post a Comment