Wednesday, 26 November 2014

VITU VITATU AMBAVYO MWANADAMU ANATAKIWA AVIFAHAMU KWENYE MAISHA,KISHA HAANZE NAVYO.

  1. Unatakiwa uwe na uwakika wa mlo kwa siku mara tatu,asubuhi,mchana na jioni.,Haijalishi una vitamini ama auna vitamini,haijalishi mtamu ama mbaya bali tumbo lijae,haijalishi ni kidogo ama ni kingi.
  2. Unatakiwa uwe na uwakika na sehemu ya kulala,haijalishi ni sehemu gani,ina chawa ama aina chawa,haijalishi ipo sehemu ya dampo ama sehemu ya mfereji wa maji machafu,bali wewe upate pa kujipumzisha tu.
  3. Tatu yanayofata sasa ni maendeleo kwa ujumla,nyumba nzuri,gari,kumiliki biashara kubwa kubwa,kumiliki viwanja,majumba n.k.
  4. 1+1=2+1=3 hili ndilo jibu letu sahii litakalo fata.,Mungu akupe nguvu uweze kufika kwenye hili jibu.

0 comments:

Post a Comment