Wednesday, 26 November 2014

UPENDO SEHEMU YA TATU.

  • Upendo ni kama maji yatiririkayo toka sehemu moja kwenda nyingine,maji hayakomi kutiririka kwenye mkondo wake kwenda sehemu ya piri ndivyo upendo ulivyo ndani ya mwanadamu,ataendelea kupenda mpaka mungu atakapo mtwaa hapa duniani.,Hataacha kupenda ata akifiwa na mke ama mume bado ataendelea kupenda haijalishi atakaa kwa muda gani mpaka tena hari hiyo hije kukuchukua.

0 comments:

Post a Comment