- Maisha yapo kama barabara ndefu iliyo nyoka isiyo onekana mwisho wake.,Hii barabara ukiiangalia kwa macho yako uwezi kuona mwisho wake.,Maisha yanalingana na harakati za mwanadamu katika kujitafutia hapa duniani.,Mwanadamu anapojitafutia hapa duniani ajui mwisho wake ni wapi,ila anakabiliana nayo kila kukicha,kila itwapo leo yeye ukabiriana nayo,ingawa ajui mwisho wake,ila mwisho wake unakuja kukomea pale anapotwaliwa hapa duniani.,Lakini yeye mwenyewe atambui muda,siku wala wakati yeye anajishitukia tu katengwa na dunia hii,kaingizwa kwenye dunia nyingine.
Wednesday, 26 November 2014
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment