- Maisha yanaitaji uvumilivu mkubwa kwa mwanadamu,maisha ya mwanadamu yametawaliwa na uvumilivu mkubwa toka kwake,punde anapokosa uvumilivu basi ujue muelekeo wake utaenda vibaya,muelekeo ukienda vibaya basi atajikuta akishiriki mambo mabaya yasiyompendeza mungu kama vile WIZI,UHARIFU WA KUKABA,KUUWA N.K
- Kila mwanadamu kama nilivyosema,maisha ya mwanadamu yamebebwa na NENO UVUMILIVU,kila mwanadamu anazaliwa na Uvumilivu ndani yake ila hile hari ya uvumilivu inatoweka ndani yake na kubaki yeye mwenyewe bila ya kujitambua na kuamua kufanya vitu visivyo ipendeza jamii ,hii hari inatoweka kama ukiwa mbali na mungu,anapokuwa mbali na mungu wake atopata kitu na wala ataona kitu na hatasikia kitu,mwisho ndio anajikuta anaingia katika hari ya KIUHARIFU.,TUWE KARIBU NA MUNGU ILI TUYASHINDE MAISHA,MAISHA SI MAGUMU KAMA TUNAVYOZANI SISI,KAMA MUNGU ALITUKUSUDIA TUWE DUNIANI BASI TUMRUDIE YEYE ILI TUWEZE KUKABILIANA NA MAGUMU
MAISHA.
MAISHA YANAITAJI UVUMILIVU.
0 comments:
Post a Comment