Saturday, 1 November 2014

BIASHARA.

CHANGAMOTO KATIKA BIASHARA.
Mimi napenda kuzungumzia changamoto za kibiashara wanazo kumbana nazo watu wanaofanya biashara,katika biashara changamoto zipo akuna biashara isiyo na changamoto iwe biashara harali ama si harali lazima iwe na changamoto,inawezekana ukawa unafanya biashara ambayo mimi sihijui lakini wewe mwenyewe unaitambua kuwa inachangamoto zake ambazo mtu mwingine hazifahamu,changamoto ni changamoto ziwe kubwa ama ndogo zote ni changamoto.,Sasa basi pamoja na kupata changamoto zote hizo katika biashara yako neno moja katika maisha upaswi kukata tamaa,upaswi kuacha biashara ila unarusiwa kubadilisha uku ukijua changamoto zipo pale pale.,USIKUBARI KUSHINDWA,KUBARI KUSHINDA,ndivyo biashara inavyotaka siku zote

0 comments:

Post a Comment