WIVU NDANI YA NDOA NA NJE YA MAUSIANO
Wivu upo katika mapenzi,lakini unatakiwa uwe wa kiasi kwa wapenda nao,wote wajielewe kuwa wivu upo na unapaswa kuwa kwa kiasi kwao.,Wivu upo kwa watu waliopo katika mahusiano.,WIVU NI NINI? Wivu ni chachu au kachumbari katika mahusiano,wivu uongeza mapenzi ya ndati kwa wapenda nao,kusikilizana na kuaminiana.Wivu ni mzuri pia wivu ni mtamu kwa wapenda nao waliopendana kwa dhati,wivu umfanya mtu ajitambue kuwa anapendwa,na anapojisikia moyoni mwake ufurahi na kujiona kuwa wa thamani sana kwa mwenzake huyo.,Kuna kipindi mwanadamu ujisahau na kujikuta akijiachia afahamu kuwa yeye ni mke wa mtu ama mume wa mtu,sasa bila kumshitua anaweza akatoka nje ya mstari kwa hiyo lazima umshitue kwa staili hii ya kiasi kwa kumuonea wivu ili harudi nyuma ajitambue haaa............mimi ni mume wa mtu,ama haaa.........mimi ni mke wa mtu,ili hajitambue kumbe niwa umuhimu kwa mume wangu ama kwa mke wangu,bila ya wivu akuna mapenzi.WIVU KWA KIASI.
0 comments:
Post a Comment