Thursday, 20 November 2014

PICHA.

  • Picha,picha ni nini ? picha ni taswira ya kitu.,kwa mfano gari,nyumba,mtu n.k hivi vitu vipo katika taswira ya picha ya kupigwa na kuonekana,ndio tunaweza kusema picha ya gari hile,ama picha ya nyumba hile n.k.Pia picha ni taswira ya vitu.,Kwa mfano magari yale yamependeza yamepigwa picha vizuri.,Picha ni muonekano wa taswira ya kitu kimoja ama vingi machoni mwako.
  •  Picha ufurahisha.
  • Picha uhuzunisha.
  • Picha uchekesha.
  • Picha usikitisha.
  • Picha ukupa upendo.
  • Picha ukupa amani.
  • Picha ukupa furaha.
  • Picha ukupa tumaini.
  • Picha uku kumbusha.
  • Picha ukuriza.

0 comments:

Post a Comment