Wednesday, 26 November 2014

SURA YA MAISHA

                                                              SURA YA MAISHA.
  • Unajua maisha yana sura  mbili moja ni sura ya mafanikio na mbili ni sura ya kutofa nikiwa ,sasa basi unaweza  kufanikiwa lakini uwezi uka starehe bila ya changamoto, na unaweza ukawa hujafanikiwa hapo ndipo unaweza  kuona changa moto nyingi kwako , ninimaanisha kuwa cgangamoto kwa mwanadamu haziishii mpaka atakatwaliwa hapa duniani ataweza kuondokana nazo,cha ziada ni kukufundisha na kukutia nguvu ilikukabiliana nazo.
  • hata mapenzi yana sura mbili kama utamshirikisha mungu na kama utaka kumshirikisha mungu.kama ukimshirikisha mungu na kuwa  ndani ya mungu utayafurahia na hata zikitokea changamota  utazishanda kwa sababu ushauonja utamu wake,kama utamshirikisha mungu  utaona utamu wa sekunde kisha kinachofuata kelo, changa moto kwako mpaka itafika wakati mwaweza mkatengana.

0 comments:

Post a Comment