Saturday, 1 November 2014

BIASHARA.

  • Kila biashara unayotaka kuianza ujue ina changamoto zake,biahsara ni nzuri kwa kila mtu anayejitambua hivyo,biashara ni kipawa pia unaweza ukajifunza na ukaja kuielewa,biashara hukupa uhuru wa kufanya mambo mengine uyatakayo,biashara hupanua mawazo na kukufanya ufike mbali ki maendeleo,biashara hukutanisha na watu tofautitofauti na kuweza kujifunza mambo mengi toka kwao.
                                                    TABIA ZA BIASHARA.
  1. Uvumilivu.
  2. Unyenyekevu.
  3. Usafi.
  4. Kauli nzuri.
  5. Kukopeshana kwa kiasi.
                                                MATOKEO YA BIASHARA .
  1. Faida.
  2. hasara.
Hivi  vitu vipo kwenye biashara yoyote iwe ya halali au siyo ya halali,vitu hivi viwili vipo ila yakupasa uvitambue na kusonga mbele zaidi.
                                              CHANGAMOTO YA BIASHARA.
Changamoto ya biashara utaipata toka tabia ya biashara au matokeo ya biashara na matakeo ya biashara ndio utakumbana na changamoto humo,lakini huna budi kusonga mbele.

0 comments:

Post a Comment