Saturday, 1 November 2014

MAISHA NDANI YA NDOA,MAISHA NJE YA NDOA.

Maisha ni kuheshimiana.
Maisha ni kupendana.
Maisha ni kufarijiana.
Maisha ni kusaidiana,kipesa,kimawazo,kifikra n.k
Maisha ni kuelimishana,kufundishana na kukosoana.
Maisha ni kusikilizana.
Maisha ni kuaminiana.
Akuna anaye yajua maisha kila mmoja anatakiwa awe mwalimu kwa mwenzake na kila mmoja anatakiwa awe mwanafunzi pia kwa mwenzake.,uwetayari kuwa mwalimu na uwetayari kuwa mwanafunzi.
Maisha ni kuombeana.
Hii ndiyo misingi nane ya maisha ndani ya ndoa na nje ya ndoa.

0 comments:

Post a Comment