- Maisha ni kama ngazi inayoitaji huanzie chini,upande ngazi ya kwanza,ya piri,naya tatu ili uweze fika kileleni ulipokusudia kufika,usikubali kuishia ngazi ya kwanza ama ya piri,jitaidi ufike ile ya tatu uliyokusudia kufika.,Mwanadamu ana miguu miwiri anapoanza kupandisha ngazi lazima ahanze na mguu wa kushoto kupanda kisha unafata wa piri wa kulia,mwisho anamalizia na mguu wake wa kushoto aliyoanzia nao katika kukamilisha namba tatu za ushindi wake,kwa hiyo jitaidi ukamilishe atua yako tatu kwa kishindo.
MAISHA.
MAISHA NI KAMA NGAZI.
0 comments:
Post a Comment