TENDO LA NDOA.
- Hili neno linatokana na kitu kinachoitwa NDOA, pia hili neno linamaanisha mtu aliyendani ya NDOA anaweza akawa mwanamke au mwanaume aliyekuwa ameolewa au ameoa
- Tendo la NDOA ni nini? tendo la ndoa ni tendo linalofanywa na watu wa wawili wenye jinsia tofauti ya kiume na ya kike waliondani ya ndoa kukutanisha miili yao kwa pamoja kwa nia moja kwa lengo moja na kwasababu muhimu pamoja na Mungu wao; pia tendo la ndoa ni maridhiano baina ya watu wawili waliopendana kwa dhati na kuamua kuishi pamoja kama mume na mke, tendo la ndoa kwa wanandoa ni upendo, amani na furaha kwao na familia yao kwa pamoja.
- Maisha ni furaha, maisha ni amani na maisha ni upendo.
ANAYEPASWA KUFANYA TENDO LA NDOA NI NANI?
NI UMRI GANI MTU ANAPASWA KUFANYA TENDO LA NDOA?
- Anayepaswa kushiriki tendo la ndoa ni mtu yoyote yule aliye ndani ya ndoa
- Umri mtu anayepaswa kufanya tendo la ndoa ni umri yeye mwenyewe anaye balehe mimi simpangii ila katika umri huo ndiyo anaruhusiwa kufanya tendo la ndoa kwa kufuata taratibu zote za ndoa ninamaanisha afanye ndoa kisha aanze kushiriki.
FAIDA YA TENDO LA NDOA.
- Ni afya, pia huimarisha mwili kuwa vizuri.
- Huweka akili sawa na ukafanya kuwa na mawazo mazuri.
- Kupata watoto wenye kulelewa ndani ya ndoa na wazazi wote Baba na Mama n.k.
HASARA YA TENDO LA NDOA.
- Hasara hakuna ila kuna faida tu katika tendo la ndoa.
0 comments:
Post a Comment