Thursday, 6 November 2014

MTU ANAEJIAMINI.

Mtu anaejiamini.,Mtu anaejiamini siku zote ni mtu wa ainatofauti katika jamii,mtu anaejiamini ni mtu mwenye kupanga mambo yake na yakapangika kama anavyotaka,mtu mwenye kujiamini ababaishwi na kitu,mtu anaejiamini ni mtu mwenye roho safi,mtu anaejiamini ni mtu mwenye kuwaombea watu,mtu anaejiamini ni mtu wa watu,mtu anaejiamini ni mtu asiyeogopa changamoto,mtu anaejiamini ni mtu anaefurahia maendeleo ya mtu mwingine,mtu anaejiamini ni mtu shupavu na imara,mtu anaejiamini ni mtu anaesimama sehemu makini,uku akiwa na tumaini na kile anachopigania,mtu anaejiamini ni mtu mwenye tumaini la kitu,vitu alivyokusudia kuvipata kwa wakati,mtu anaejiamini ni mtu mwenye kuangalia wakati uliopo na unaokuja,kwa kifupi ni mtu wa kuangalia nyakati na wakati.

0 comments:

Post a Comment