Ukizipokea na kuzisoma kisha kuzifanyia kazi,utapata matunda yake,mungu akusaidie.
- Usipende kumwambia mtu kwa kile unachotaka kukifanya.
- Fanya kile unachoamini unaweza kukifanya.
- Usiwe mtu wa sifa kuweka siri zako nje ili watu wajue wewe ni nani ? na unataka kufanya nini ?kwa sasa ama kwa badae.
- Uwe mtu wa vitendo.
- Uwe mtu wa sirini kwa yale unayotaka kufanya,watu waje kuyaona badae.
- Usipende kushindana na watu,ila watu waache washindane na wewe.
0 comments:
Post a Comment