Thursday, 18 June 2015

VITU VYA KUVICHUKULIA KWA MTOTO WAKO MZAZI.

  • Mchukulie mtoto wako kama mtoto.,Mchukulie mtoto wako kama rafiki yako.,Mchukulie mtoto wako kama mtani wako.,Mchukulie mtoto wako kama ndugu yako.,Mchukulie mtoto wako kama mzazi wako wa uzeeni.,Hapa utajifunza mengi toka kwa mtoto wako,mengi usiyo yajua kuhusu watoto utahanza kujifunza toka kwa mtoto wako,kuna kipindi unatakiwa ujishushe ili uweze kuyajua mambo mengi yausuhayo mtoto.,Heshima ya mtoto kwako hitabaki kuwa pale pale kuwa wewe ni baba,anapaswa kukuheshimu si kila wakati hatakuwa anakuchezea hapana,usiogope kucheza na mtoto wako.,Kama wazazi wako walishindwa kukulea vizuri kwa namna hii sasa usilipize kisasi kwa wanao,kwa kuwalea kwa ukali na ukatili mwingi,jifunze sasa unapomaliza kuyasoma haya na mungu akusaidie.

KUWA KARIBU NA MTOTO WAKO ILI UWEZE KUJUHA MENGI TOKA KWAKE.

  • Watoto wanaitaji upendo,amani na furaha toka kwa wazazi.,Watoto wanaitaji kuheshimiwa na watu wote.,Watoto wanaitaji kufundishwa na kuhelimishwa.,Watoto wanaitaji uhuru wa kuongea,kucheza na kusoma.,Watoto wanaitaji ukaribu toka kwa mzazi ili haweze kumueleza lile linalomsibu toka moyoni mwake.Yachukue haya ili uweze kwenda sawa na mtoto wako.

Monday, 15 June 2015

MUNGU ANANJIA NYINGI.SEHEMU YA PILI.

  • Wakati mwingine mwanadamu huwaza mambo mengi juu ya maisha yake,wakati mwingine unaweza ukawaza juu ya kupata mke bora/mume bora ukawa umemtafuta kwa muda mrefu ukawa umemkosa yule unaemtaka hatakae weza beba moyo wako.,Wakati mwingine mwanadamu huwaza mambo mengi juu ya maisha yake jinsi hatakavyoweza kupata pesa ya hada ya shule /chuo.,Wakati wewe unawaza yote hayo mungu yeye kasha jua wewe utapataje hiyo hada sasa wewe kaa usubiri.,Wakati wewe unawaza yote hayo mungu yeye kasha pata jibu lako ila haijulikani ni lini hinaweza ikawa leo ama sasa ama kesho unachotakiwa ni kusubili hitokee.

MUNGU ANANJIA NYINGI.SEHEMU YA KWANZA.

  • Mungu ana njia nyingi.,Mungu ana njia nyingi zaidi ya mamilioni,mabilioni na matilioni.,Mungu kama mungu muache haitwe mungu kwa maana yeye ndiye mwanzo na  mwisho akuna kama yeye.,Wakati mwingine mwanadamu unaweza ukakaa chini ukafikilia mambo mengi sana yaliopita na yanayokuja,pia ukawaza mengi mazuri utakayotaka yawepo kwako,pia ukapanga mengi utakayotaka huyamiliki.,Wakati umshirikishi mungu katika yote hayo mungu bado anakuwa na wewe,wakati wewe unafikilia utahamkaje kesho mungu yeye kashajua wewe utahamkaje,wakati wewe unafikilia utakula nini kesho mungu yeye kasha jua wewe kesho utakula chakula gani,wakati wewe unafikilia hada ya shule utaipataje mungu yeye kasha jua jinsi utakavyoipata,wakati wewe unawaza mungu anawazua mambo yako na kukupa nafasi ya kufanya kitu kingine,wakati wewe unapanga hiwe kesho mungu anapanga hiwe leo n.k

Tuesday, 26 May 2015

KWENYE MAISHA.

  • Kwenye maisha kuna leo na kesho.,kwenye maisha kuna changamoto.,kwenye maisha kuna raha.,kwenye maisha kuna shida.,kwenye maisha kuna kupata na kukosa.,Haya yote unabudi huyatambue ili uweze songa mbele.,Ukiyajua haya uta teteleka utasimama imara kwa lolote litakalo kufika.

UPENDO NA MAPENZI KATIKA NDOA.

  • Upendo na mapenzi katika ndoa ni mambo yanayoenda pamoja na havitakiwi viachane.,Upendo na mapenzi katika ndoa kila kimoja kina nafasi yake.,Kwanza kabisa katika ndoa upendo ni jambo la kwanza muhimu kuwepo.,Ili wanandoa waweze kwenda sawa ni lazima kuwepo na upendo wa dhati katika ndoa kwani upendo huvumilia,husamee,hautafuti mambo yake,husikilizana,huwa na kauli nzuri,unatia moyo katika maisha,hufadhili,kuambatana pamoja na mwenzio,hujali,haufurahii mabaya,haukinai na upo tayari kutia moyo.Mnaweza kuwa wanandoa lakini pasiwe na upendo wa kweli katikati yenu.Mapenzi huwa yanatawaliwa na tamaa kwani mtu anaweza akaoa/kuolewa na mtu asiyempenda ila kwa sababu ya fedha kalazimishwa,tamaa ya mwili na mali akafunga nae ndoa.,Ndoa yoyote isiyo na upendo ni vigumu kudumu na kuwepo kwa uaminifu kwa wana ndoa.

MOYO WA MWANADAMU.

  • Kuna kipindi fulani mwanadamu hufikia uamuzi wa kumtafuta mwenzi wa maisha yake.,Kipindi hiki ndani ya moyo wake huwa mweupe hauna kitu,na kitu pekee anachokitafuta ni mtu ambaye atakayemfaa na kumkabidhi moyo wake.,Kipindi hiki huwa kigumu sana kwake,kama atakuwa mwanaume basi atakuwa na marafiki wengi wa kike na kama mwanamke atakuwa na marafiki wengi wa kiume,kipindi hiki moyo wake huangalia kuweza kupata mtu wa kushikamana nae kwa hiyo macho yake upapasa ili kumpata mtu aliye sahii huku moyo ukisubiri maamuzi ya macho ili uweze kupokea.,Wakati macho yakiangalia huku na uko ili kumpata aliye sahii huku ndani napo moyo huzungumza na macho kubaini aliye ashii,wakati macho yanatafuta ili kumpata aliye sahii ili yaweze kumkabidhi moyo utaona moyo nao unatamani.,Wakati macho yanatafuta kila kona kumpata aliye sahii ili yaweze kumkabidhi moyo,moyo nao huenda mbio kumpata aliye sahii wakati macho yanasema ni huyu nimempata moyo nao unakataa ya kwamba siyo huyo yaani hii inakuwa kama kuna mvutano kwani kazi ya macho ni kuona na kazi ya moyo ni kupokea.,Ni busara kufata maamuzi ya moyo na sio macho kwani macho hutamani kila unachokiona.