- Mchukulie mtoto wako kama mtoto.,Mchukulie mtoto wako kama rafiki yako.,Mchukulie mtoto wako kama mtani wako.,Mchukulie mtoto wako kama ndugu yako.,Mchukulie mtoto wako kama mzazi wako wa uzeeni.,Hapa utajifunza mengi toka kwa mtoto wako,mengi usiyo yajua kuhusu watoto utahanza kujifunza toka kwa mtoto wako,kuna kipindi unatakiwa ujishushe ili uweze kuyajua mambo mengi yausuhayo mtoto.,Heshima ya mtoto kwako hitabaki kuwa pale pale kuwa wewe ni baba,anapaswa kukuheshimu si kila wakati hatakuwa anakuchezea hapana,usiogope kucheza na mtoto wako.,Kama wazazi wako walishindwa kukulea vizuri kwa namna hii sasa usilipize kisasi kwa wanao,kwa kuwalea kwa ukali na ukatili mwingi,jifunze sasa unapomaliza kuyasoma haya na mungu akusaidie.
Thursday, 18 June 2015
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment