- Kwenye maisha kuna leo na kesho.,kwenye maisha kuna changamoto.,kwenye maisha kuna raha.,kwenye maisha kuna shida.,kwenye maisha kuna kupata na kukosa.,Haya yote unabudi huyatambue ili uweze songa mbele.,Ukiyajua haya uta teteleka utasimama imara kwa lolote litakalo kufika.
Tuesday, 26 May 2015
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment