Monday, 15 June 2015

MUNGU ANANJIA NYINGI.SEHEMU YA KWANZA.

  • Mungu ana njia nyingi.,Mungu ana njia nyingi zaidi ya mamilioni,mabilioni na matilioni.,Mungu kama mungu muache haitwe mungu kwa maana yeye ndiye mwanzo na  mwisho akuna kama yeye.,Wakati mwingine mwanadamu unaweza ukakaa chini ukafikilia mambo mengi sana yaliopita na yanayokuja,pia ukawaza mengi mazuri utakayotaka yawepo kwako,pia ukapanga mengi utakayotaka huyamiliki.,Wakati umshirikishi mungu katika yote hayo mungu bado anakuwa na wewe,wakati wewe unafikilia utahamkaje kesho mungu yeye kashajua wewe utahamkaje,wakati wewe unafikilia utakula nini kesho mungu yeye kasha jua wewe kesho utakula chakula gani,wakati wewe unafikilia hada ya shule utaipataje mungu yeye kasha jua jinsi utakavyoipata,wakati wewe unawaza mungu anawazua mambo yako na kukupa nafasi ya kufanya kitu kingine,wakati wewe unapanga hiwe kesho mungu anapanga hiwe leo n.k

0 comments:

Post a Comment