Kuna aina tatu ya mawingu,kuna mawingu mepesi,mawingu ya kijivu na mawingu meusi.,Unapoyaona mawingu juu ya uso wa dunia uwa huashilia nini ? unapoyaona mawingu juu ya uso wa dunia uwa yanaashilia hali ya hewa inavyoendelea.,Mawingu ubadilika kutokana na hali ya hewa inavyoendelea..........vile hali ya hewa inavyoenda ndivyo na mawingu yanavyoweza kubadilika.,Mawingu meupe huleta jua,mawingu ya kijivu huleta jua la wastani na mawingu meusi huleta mvua.,pia kuna kipindi mawingu haya hutegemeana,kuna wakati mawingu meupe huleta jua kali na hali ya kutegemeana na mawingu meusi.,pia kuna wakati mawingu ya kijivu huleta jua la wastani na hali ya upepo huku baadae ikitokea hali ya mawingu meusi kidogo na mvua ndogo ndogo hivi ndivyo hali inavyokuwaga.
Friday, 9 January 2015
HALI YA HEWA JINSI ILIVYO.
Posted on 09:59by shinetanzania with No comments
- Hali ya hewa inaenda sawa na vipindi vya miezi vilivyomo ndani ya mwaka.,Kuna kipindi cha kiangazi,nina maanisha kipindi cha jua.,Kipindi cha kipupwe,nina maanisha kipindi cha upepo.,Kipindi cha vuli,nina maanisha kipindi cha mvua na upepo.,Kipindi cha masika,nina maanisha kipindi cha mvua kubwa na mafuriko.,Hivi ni vitu muhimu kwa mwanadamu kuvijua ili hitakapotokea moja ya hali hii haweze kujikinga nayo
TUIPENDE TANZANIA
Posted on 09:21by shinetanzania with No comments
Mwaka tunaanza upya,tudumishe uzalendo.
Tuipende tanzania,tudumishe uzalendo.
Mungu katupa amani,tuilinde amani.
Tuipende tanzania tudumishe uzalendo.
Mbuga nzuri tunazo, ardhi yenye rutuba.
Tuipende tanzania ,tudumishe uzalendo.
Tushikamane pamoja,tuilinde tanzania.
Tuipende tanzania,tudumishe uzalendo.
Bendera yetu nzuri,mfano mmoja duniani.
Tuipende tanzania,tudumishe uzalendo.
Tuipende tanzania,tudumishe uzalendo.
Mungu katupa amani,tuilinde amani.
Tuipende tanzania tudumishe uzalendo.
Mbuga nzuri tunazo, ardhi yenye rutuba.
Tuipende tanzania ,tudumishe uzalendo.
Tushikamane pamoja,tuilinde tanzania.
Tuipende tanzania,tudumishe uzalendo.
Bendera yetu nzuri,mfano mmoja duniani.
Tuipende tanzania,tudumishe uzalendo.
CHRISTMAS.
Posted on 09:03by shinetanzania with No comments
Christmas imefika tusherekee vizuri
Tushirikiane pamoja tudumishe amani
Tusherekee pamoja mungu wetu ni mmoja
Christmas imefika samehe saba mara sabini.
Christmas imefika tusherekee vizuri
Tushirikiane pamoja tuoneshe upendo
Tusherekee pamoja nguzo yetu ni umoja
Christmas imefika samehe saba mara sabini.
Christmatmas imefika tusherekee vizuri
Tushirikiane pamoja tuoneshe furaha
Tusherekee pamoja mungu wetu ni anapenda
Christmas imefika samehe saba mara sabini
Tushirikiane pamoja tudumishe amani
Tusherekee pamoja mungu wetu ni mmoja
Christmas imefika samehe saba mara sabini.
Christmas imefika tusherekee vizuri
Tushirikiane pamoja tuoneshe upendo
Tusherekee pamoja nguzo yetu ni umoja
Christmas imefika samehe saba mara sabini.
Christmatmas imefika tusherekee vizuri
Tushirikiane pamoja tuoneshe furaha
Tusherekee pamoja mungu wetu ni anapenda
Christmas imefika samehe saba mara sabini
Subscribe to:
Posts (Atom)