Friday, 9 January 2015

HALI YA HEWA JINSI ILIVYO.

  • Hali ya hewa inaenda sawa na vipindi vya miezi vilivyomo ndani ya mwaka.,Kuna kipindi cha kiangazi,nina maanisha kipindi cha jua.,Kipindi cha kipupwe,nina maanisha kipindi cha upepo.,Kipindi cha vuli,nina maanisha kipindi cha mvua na upepo.,Kipindi cha masika,nina maanisha kipindi cha mvua kubwa na mafuriko.,Hivi ni vitu muhimu kwa mwanadamu kuvijua ili hitakapotokea moja ya hali hii haweze kujikinga nayo

0 comments:

Post a Comment