Friday, 9 January 2015

CHRISTMAS.

Christmas imefika tusherekee vizuri
Tushirikiane pamoja tudumishe amani
Tusherekee pamoja mungu wetu ni mmoja
Christmas imefika samehe saba mara sabini.

Christmas imefika tusherekee vizuri
Tushirikiane pamoja tuoneshe upendo
Tusherekee pamoja nguzo yetu ni umoja
Christmas imefika samehe saba mara sabini.

Christmatmas imefika tusherekee vizuri
Tushirikiane pamoja tuoneshe furaha
Tusherekee pamoja mungu wetu ni anapenda
Christmas imefika samehe saba mara sabini

0 comments:

Post a Comment