Kuna aina tatu ya mawingu,kuna mawingu mepesi,mawingu ya kijivu na mawingu meusi.,Unapoyaona mawingu juu ya uso wa dunia uwa huashilia nini ? unapoyaona mawingu juu ya uso wa dunia uwa yanaashilia hali ya hewa inavyoendelea.,Mawingu ubadilika kutokana na hali ya hewa inavyoendelea..........vile hali ya hewa inavyoenda ndivyo na mawingu yanavyoweza kubadilika.,Mawingu meupe huleta jua,mawingu ya kijivu huleta jua la wastani na mawingu meusi huleta mvua.,pia kuna kipindi mawingu haya hutegemeana,kuna wakati mawingu meupe huleta jua kali na hali ya kutegemeana na mawingu meusi.,pia kuna wakati mawingu ya kijivu huleta jua la wastani na hali ya upepo huku baadae ikitokea hali ya mawingu meusi kidogo na mvua ndogo ndogo hivi ndivyo hali inavyokuwaga.
Friday, 9 January 2015
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment