- Mauwa uleta Amani,Upendo na Furaha.,Mauwa ugusa hisia ya mtu.,Mauwa ugusa hisia ya mtu ya ndani.,Mauwa ugusa hisia ya mtu ya ndani naya nje.,Mauwa uleta hisia ya kitu furani kwa mtu punde anapotumiwa na ndugu yake,rafiki yake,mke wake,mume wake n.k.Mauwa ungarisha macho,punde unapoangalia mauwa utaona tofauti furani katika macho yako,tofauti na utakapokuwa unaangalia sinema.,TAZAMA PICHA ZA MAUWA HAYA YALIVYO PENDEZA,YANAVUTIA NA UCHOKI KUYATIZAMA.
Wednesday, 10 December 2014
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment