- Mapenzi siyo karahaa......................,bali mapenzi ndiyo furaha,mapenzi ndiyo amani,bali mapenzi ndiyo upendo.
- Mapenzi siyo maneno........................,bali mapenzi ndiyo amani ,Mapenzi ndiyo furaha,bali mapenzi ndiyo upendo.
- Mapenzi siyo majivunoo.....................,bali mapenzi ndiyo upendo,Mapenzi ndiyo amani,bali mapenzi ndiyo furaha.
SHAIRI.
MAPENZI.
0 comments:
Post a Comment