- Hakika dunia ni safari ndefu,mbio za mwanadamu ni ndefu hakika zinamwisho wake,sasa umeianza dunia mungu amekuleta huione dunia,ukue,ujifunze na uweze kujitafutia,sasa safari umeianza,safari ni ndefu yaitaji uvumilivu.
- Hakika dunia ni safari ndefu,yaitaji upendo,amani na furaha,tafuta utapata,bisha utafunguliwa maisha ni safari yaitaji uvumilivu,tafuta utapata....................,mbio za mwanadamu ni ndefu hakika zinamwisho wake.
SHAIRI.
MBIO ZA MWANADAMU.
0 comments:
Post a Comment