JIPENDE
- Jipende wewe mwenyewe maisha yanavyotaka,jipende wewe mwenyeweee maisha yanavyotaka,furaha jifurahie maisha yanavyotaka,jipende wewe mwenyeweee maisha yanavyotaka.
- Kula vizuri furahi jipende wewe mwenyewe,jipende wewe mwenyeweee maisha yanavyotaka,maisha wewe mwenyewe jipende wewe mwenyewe,jipende wewe mwenyeweee maisha yanavyotaka.
- Jipende wewe mwenyewe maisha yanavyotaka,jipende wewe mwenyeweee maisha yanavyotaka,kisamini ulichonacho hatakikiwa kidogo,jipende wewe mwenyeweee maisha yanavyotaka.
0 comments:
Post a Comment