Monday, 27 October 2014

SHAIRI.

MAPENZI.
  1. Mapenzi siyo karahaa......................,bali mapenzi ndiyo furaha,mapenzi ndiyo amani,bali mapenzi ndiyo upendo.
  2. Mapenzi siyo maneno........................,bali mapenzi ndiyo amani ,Mapenzi ndiyo furaha,bali mapenzi ndiyo upendo.
  3. Mapenzi siyo majivunoo.....................,bali mapenzi ndiyo upendo,Mapenzi  ndiyo amani,bali mapenzi ndiyo furaha.

SHAIRI.

MBIO ZA MWANADAMU.
  1. Hakika dunia ni safari ndefu,mbio za mwanadamu ni ndefu hakika zinamwisho wake,sasa umeianza dunia mungu amekuleta huione dunia,ukue,ujifunze na uweze kujitafutia,sasa safari umeianza,safari ni ndefu yaitaji uvumilivu.
  2. Hakika dunia ni safari ndefu,yaitaji upendo,amani na furaha,tafuta utapata,bisha utafunguliwa maisha ni safari yaitaji uvumilivu,tafuta utapata....................,mbio za mwanadamu ni ndefu hakika zinamwisho wake.
     
     

Friday, 3 October 2014

SHAIRI.

JIPENDE
  1. Jipende wewe mwenyewe maisha yanavyotaka,jipende wewe mwenyeweee maisha yanavyotaka,furaha jifurahie maisha yanavyotaka,jipende wewe mwenyeweee maisha yanavyotaka.
  2. Kula vizuri furahi jipende wewe mwenyewe,jipende wewe mwenyeweee maisha yanavyotaka,maisha wewe mwenyewe jipende wewe mwenyewe,jipende wewe mwenyeweee maisha yanavyotaka.
  3. Jipende wewe mwenyewe maisha yanavyotaka,jipende wewe mwenyeweee maisha yanavyotaka,kisamini ulichonacho hatakikiwa kidogo,jipende wewe mwenyeweee maisha yanavyotaka.