- Mchukulie mtoto wako kama mtoto.,Mchukulie mtoto wako kama rafiki yako.,Mchukulie mtoto wako kama mtani wako.,Mchukulie mtoto wako kama ndugu yako.,Mchukulie mtoto wako kama mzazi wako wa uzeeni.,Hapa utajifunza mengi toka kwa mtoto wako,mengi usiyo yajua kuhusu watoto utahanza kujifunza toka kwa mtoto wako,kuna kipindi unatakiwa ujishushe ili uweze kuyajua mambo mengi yausuhayo mtoto.,Heshima ya mtoto kwako hitabaki kuwa pale pale kuwa wewe ni baba,anapaswa kukuheshimu si kila wakati hatakuwa anakuchezea hapana,usiogope kucheza na mtoto wako.,Kama wazazi wako walishindwa kukulea vizuri kwa namna hii sasa usilipize kisasi kwa wanao,kwa kuwalea kwa ukali na ukatili mwingi,jifunze sasa unapomaliza kuyasoma haya na mungu akusaidie.
Thursday, 18 June 2015
KUWA KARIBU NA MTOTO WAKO ILI UWEZE KUJUHA MENGI TOKA KWAKE.
Posted on 22:29by shinetanzania with No comments
- Watoto wanaitaji upendo,amani na furaha toka kwa wazazi.,Watoto wanaitaji kuheshimiwa na watu wote.,Watoto wanaitaji kufundishwa na kuhelimishwa.,Watoto wanaitaji uhuru wa kuongea,kucheza na kusoma.,Watoto wanaitaji ukaribu toka kwa mzazi ili haweze kumueleza lile linalomsibu toka moyoni mwake.Yachukue haya ili uweze kwenda sawa na mtoto wako.
Monday, 15 June 2015
MUNGU ANANJIA NYINGI.SEHEMU YA PILI.
Posted on 03:44by shinetanzania with No comments
- Wakati mwingine mwanadamu huwaza mambo mengi juu ya maisha yake,wakati mwingine unaweza ukawaza juu ya kupata mke bora/mume bora ukawa umemtafuta kwa muda mrefu ukawa umemkosa yule unaemtaka hatakae weza beba moyo wako.,Wakati mwingine mwanadamu huwaza mambo mengi juu ya maisha yake jinsi hatakavyoweza kupata pesa ya hada ya shule /chuo.,Wakati wewe unawaza yote hayo mungu yeye kasha jua wewe utapataje hiyo hada sasa wewe kaa usubiri.,Wakati wewe unawaza yote hayo mungu yeye kasha pata jibu lako ila haijulikani ni lini hinaweza ikawa leo ama sasa ama kesho unachotakiwa ni kusubili hitokee.
MUNGU ANANJIA NYINGI.SEHEMU YA KWANZA.
Posted on 03:15by shinetanzania with No comments
- Mungu ana njia nyingi.,Mungu ana njia nyingi zaidi ya mamilioni,mabilioni na matilioni.,Mungu kama mungu muache haitwe mungu kwa maana yeye ndiye mwanzo na mwisho akuna kama yeye.,Wakati mwingine mwanadamu unaweza ukakaa chini ukafikilia mambo mengi sana yaliopita na yanayokuja,pia ukawaza mengi mazuri utakayotaka yawepo kwako,pia ukapanga mengi utakayotaka huyamiliki.,Wakati umshirikishi mungu katika yote hayo mungu bado anakuwa na wewe,wakati wewe unafikilia utahamkaje kesho mungu yeye kashajua wewe utahamkaje,wakati wewe unafikilia utakula nini kesho mungu yeye kasha jua wewe kesho utakula chakula gani,wakati wewe unafikilia hada ya shule utaipataje mungu yeye kasha jua jinsi utakavyoipata,wakati wewe unawaza mungu anawazua mambo yako na kukupa nafasi ya kufanya kitu kingine,wakati wewe unapanga hiwe kesho mungu anapanga hiwe leo n.k
Subscribe to:
Posts (Atom)