- Mungu wakati anaumba alimpatia mwanamke Asilimia 50% na mwanaume alimpa 100% hii inamaanisha kuwa mwanaume awe kiongozi juu ya mwanamke.,Ana maana umuonee mke wako hapana,na ana maana wewe ukiwa kiongozi basi usisikilize ushauri wa mke wako ama wa mtu mwingine hapana.,Ana maana umuazibu mke wako anapokosa hapana.,NINI SASA MAANA YAKE MUNGU ALIVYOTUPA ASILIMIA HIZI ? Maana yake mungu alivyotupa asilimia hizi ni hili kila mmoja ajitambue haelewe sehemu yake na haelewe sehemu ya mwenzake ili muweze kwenda sawa.,Utakapo jitambua na kumtambua na mwenzako basi utapata shida utauvaa uvumilivu,unyenyekevu,upole,upendo,amani na furaha.,Leo unatakiwa ujiulize mwenyewe je asilimia zangu ni ngapi alizonipatia mungu kabla ujazijua za mwenzako
Thursday, 12 March 2015
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment