Wednesday, 10 December 2014

MAUWA.

  • Mauwa uleta Amani,Upendo na Furaha.,Mauwa ugusa hisia ya mtu.,Mauwa ugusa hisia ya mtu ya ndani.,Mauwa ugusa hisia ya mtu ya ndani naya nje.,Mauwa uleta hisia ya kitu furani kwa mtu punde anapotumiwa na ndugu yake,rafiki yake,mke wake,mume wake n.k.Mauwa ungarisha macho,punde unapoangalia mauwa utaona tofauti furani katika macho yako,tofauti na utakapokuwa unaangalia sinema.,TAZAMA PICHA ZA MAUWA HAYA YALIVYO PENDEZA,YANAVUTIA NA UCHOKI KUYATIZAMA.




UTALII.

WANYAMA WENYE DAMU BARIDI.

                                     
                                   












Wanyama wenye damu baridi kisayansi wanaitwa reptiria,awa ni baadhi yao mamba,kenge,mjusi,nyoka,samaki,chura n.k

UTALII.

                                 WANYAMA WALAO NYASI.










Wanyama walao nyasi ni wanyama walio katika kundi la herbivorous kisayansi.,Tabia yao.,Asilimia kumi ya wanyama hawa ni wapole na wenye uelewa mkubwa wa kuweza kufundishwa lipi baya na lipi zuri.,pia wanyama hawa wanafugika,unaweza kuwafuga na wakaishi pamoja na wanadamu kwa amani ,furaha na upenda bila ya kuwadhuru.,

UTALII.

                          WANYAMA WALAO NYAMA.























Wanyama walao nyama ni wanyama walio katika kundi la canivorous kisayansi.Tabia zao,.Asilimia ya wanyama hawa ni wapole na wenye uelewa wa kuweza kuwafundisha kisha wakakuelewa.,kwa mfano...paka,mbwa,ila uwe nao makini wakati wowote wanaweza wakakujeruhi,Asilimia iliyobaki hawawezi kufugika,na hata ukiwafuga basi ukaenao mbali,kwa mfano mamba,chui,simba n.k  Watu wanawafuga ila wanakaanao mbali,na wanawajengea makazi yao maalumu

UTALII.

                        WANYAMA WENYE DAMU MOTO.


Wanyama wenye damu moto kisayansi wanaitwa mamalia,hawa ni baadhi yao....binadamu,ng'ombe,mbuzi,kondoo,farasi,pundamilia,kifaru,nyati,nyumbu,swala  n.k