Wednesday, 10 December 2014

UTALII.

                                 WANYAMA WALAO NYASI.










Wanyama walao nyasi ni wanyama walio katika kundi la herbivorous kisayansi.,Tabia yao.,Asilimia kumi ya wanyama hawa ni wapole na wenye uelewa mkubwa wa kuweza kufundishwa lipi baya na lipi zuri.,pia wanyama hawa wanafugika,unaweza kuwafuga na wakaishi pamoja na wanadamu kwa amani ,furaha na upenda bila ya kuwadhuru.,

0 comments:

Post a Comment